Advancing

2014 in review

The WordPress.com stats helper monkeys prepared a 2014 annual report for this blog.

Here’s an excerpt:

A New York City subway train holds 1,200 people. This blog was viewed about 3,700 times in 2014. If it were a NYC subway train, it would take about 3 trips to carry that many people.

Click here to see the complete report.

Standard
Advancing

Ibada

Mambo ya dunia…muhimu kuyazingatia na kuambatanisha maisha kwayo. Sio ahera tu tunakoelekea.

Ibada kuu ya binadamu ni kazi. Kazi ni ibada pana. Hutulisha na kulisha familia zetu. Humfanya mtu kujiona binadamu kamili. Hujenga mshikamano wa mtu na mtu, uhusiaono ambao lazima uwepo.

Leo si leo. Tunaharakishwa kunena. Redio, televisheni, rununu na tarakilishi. Vimechukua mahala pa uhusiano wa binadamu.

Utandawazi, uhalisia, usasa. Umahiri. Utabiri. Uhai. Ukuaji. Sekunde. Dakika. Lisaa. Pumzi. Pupa. Tamaa. Mauti. Mtiririko wa ishara ya mienendo na tetezi za maisha.

Standard
Advancing

Sherehe….

Kila kukicha, wengi walalamika Uzuri kuuwacha, mizozo kusaka Mchana kucha, suluhu kukatika Umpumbavu kutanda, ingawa twatarajia Umahiri kutenda, ushirikina kutujia Uovu kutanda, utupu kutuvujia Uzoefu kututonesha, ukweli kuutupilia Mbali kujizungusha, kujinufaisha kuvumilia Yangu kujishughulisha, wenzangu kuwafinyilia Kila upande, angalia utayaona Maovu upinde, mauaji bayana Upungufu utende, wema hapana Mapenzi binadamu, utulivu tofauti Kutofautisha ubinadamu, unyama mauti Fitina haramu, kuuvunja uti

Standard