Advancing

Ibada

Mambo ya dunia…muhimu kuyazingatia na kuambatanisha maisha kwayo. Sio ahera tu tunakoelekea.

Ibada kuu ya binadamu ni kazi. Kazi ni ibada pana. Hutulisha na kulisha familia zetu. Humfanya mtu kujiona binadamu kamili. Hujenga mshikamano wa mtu na mtu, uhusiaono ambao lazima uwepo.

Leo si leo. Tunaharakishwa kunena. Redio, televisheni, rununu na tarakilishi. Vimechukua mahala pa uhusiano wa binadamu.

Utandawazi, uhalisia, usasa. Umahiri. Utabiri. Uhai. Ukuaji. Sekunde. Dakika. Lisaa. Pumzi. Pupa. Tamaa. Mauti. Mtiririko wa ishara ya mienendo na tetezi za maisha.

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s