Advancing

Usawa

Mwanamke ana tofauti kadha za kimaumbile na mwanamme, lakini yaliyobaki ni sawa na mwanamme. Jamii zetu zinapoteza vipawa na nguvu kubwa kwa kumweka nyuma mwanamke na kumnyima haki zake na kumfanya chombo cha kustarehea au cha kuendesha maisha au kujengea utajiri. Mwanamke anaweza kufanya lolote lisilo dhidi na maumbile yake na ambalo mwanamme anaweza kulifanya na pengine mwanamke anaweza zaidi…

…Tata za Asumini….

Standard