Advancing

Mienendo…

Maisha ya binadamu mwanzo kama tiyara. Huanza kwa kupokelewa na kutulizwa kwa mikono ya mwanadamu mwenzake. Anapokuwa anajipata ameachiliwa na anapepea kwenye dhoruba na mawimbi ya kimaisha. Atiapo fahamu hujipata hamna mahala au chombo cha kujishikilia vyema. Mwishowe akishajiachilia, hutokomea hadi arijojo.

Advertisements
Standard