Advancing

Mkoromo

Ndoto. Ndoto tu! Ndoto ya kupita. Ingawa itakuwa tena na tena, ndani ya nadhari, ukweli utabaki kwamba ni ndoto tu! Ukaidi wa nafsi labda.

Ukishaona, tokea hapo jicho halina pazia. Na ukishagusa, tokea hapo ngozi huchonotwa hisia. Jicho na hisia ya ngozi vikichanganywa na hamu, humshinda mtu kupeperusha umbeya na ugeni wa mambo unaomhujumu. Hapo ndipo mtu hushikwa na hisia. Hisia ya ajabu ya mchemko wa kimwili. Mchemko ndani ya nafsi nyingine. Hisia ambayo mwisho humvunjavunja viungo na kumfanya mwepesi wa kuweza kuelea katika mawingu.

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s