Advancing

Mwanzo wa mwisho

Sala,
Kusali mchana na usiku,
Mabadiliko hayaonekani,
Kila siku kaguu huku na huku,
Kutarajia mema,
Ya Mola ni mengi,
Labda atanikumbuka kesho.

Kukata tamaa hakupo,
Kujitia hamu ya kuendelea,
Kutafuta kila mahali,
Mapenzi ya kupenda tu,
Kama gofu la mtu,
Bila shaka utajipata,
Unaishi tu katika bahari,
Bahari ya fikra,
Na mawazo,
Bila kupata majibu,
Huo ndio utakuwa mwanzo,
Mwanzo wa mwisho!

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s