Advancing

Majuto

Huu ni ule wakati unajikuta tu mpungufu na kutojijua. Unahisi kama akili na mwili wako umepakuliwa na kutupwa mbali na wewe. Unawaza kama upo na haupo au haupo na upo. Unakosa hiki. Unakosa kile. Unakosa hiki na kile. Unakosa kile unakihamu. Na unajua hautakipata unachokihamu. Unabakia tu kujuta na kujua umo katika ulimwengu wa majuto. Unajuiliza mbona ulizaliwa. Mbona ulizaliwa katika dunia hii is’o na umajimaji au rotuba.

Unawaza. Unawaza tu. Uwepo hapa au uende mbali. Lakini mbali ni wapi? Nini maana ya kujigundua? Unaanza safari. Ingawa hujijui. Unajivuta huku umesimama. Hausongi. Potelea mbali! Lakini lazima usonge. Uende mbele. Mbele usikokuja, ilimradi usonge tu. Mbele kuna wema. Au labda utajikimu. Lakini una hofu. Hofu ya kwenda mbele…

Advertisements
Standard

One thought on “Majuto

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s