Advancing

Unyonge

Nyakati zinanipita,
Hata labda hewa itanitoroka,
Sina njia,
Sina marafiki,
Jamaa wangu wamenitoroka,
Wamenifukuza!
Sina bazi wala kazi,
Niende wapi?

Chakula balaa,
Maji adimu,
Unyang’anyi kila upande,
Sababu ya unyonge!

Nitaomba wapi?
Kila anionaye anifukuza bila ya kunena,
Naonewa mie,
Masikitiko kila uchao,
Ila sikupendelea kuwa hivi.

Jamani naonewa,
Kila mabaya yaja upande wangu,
Nateseka mie,
Unyonge utanimaliza!

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s