Advancing

Bado tupo…

Yupo haondoki
Labda apendwe apendeke
Kudekezwa anadekezwa
Kikiwa moto anapuliziwa
Ananyweshwa
Analishwa
Kukiwa joto anapepetwa
Baridi anazuiwa
Vitu adimu anapewa
Vyote vilivyo halalishwa
Muhimu kupendwa
Muhimu zaidi kupenda
Walimwengu mna mabaya
Wachaneni nasi tule raha
Vya dunia tufurahie
Hadi mwisho utakapofika!

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s