Advancing

Kujitilia…

Yale yaliyotokea
Yote yaliyotokea
Wote waliyakemea
Vijilima tulivikwea
Tamu tulivyoletewa
Kulambia kwa umbali
Unafiki na umbeya
Hautatukazia hapa
Kuzidi tutazidi
Kutulia na kuvinjari

Jua moyoni unaniua
Nakuona tu ukipania
Japo sipo unanifatilia
Japo nahepa unanitilia
Japo sitaki unaning’ang’ania
Una nini we?

Anayekupenda na akupende
Anayekuchukia aende
Apotelee mbali
Un’ompenda mtilie afurahie
Mjazie utamu
Hadi ashikwe na wazimu!

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s