Advancing

Mtachoka tu…

Wangu amenithibiti kivyote
Semeni yote
Mtalala kwa vyote
Yu nyumbani na pete
Katulia kwani ashapata yote
Mtakayo, mema au maovu yalete

Hatuwachani kwa maneno yenu
Roho zetu burudani
Masikio tumeyaziba
Kando tutaangaza
Ya njiani ni yakupita

Fanyeni mfanyayo
Rudini kinyumenyume mkituona
Tupo hatuondoki
Raha ni zetu
Machungu na tamu yetu
Kamwe hatutachoka
Jijueni kwani hatufanani
Kuwapa karaha enyi mahasimu

Kwa upole tutakumbatiana
Mambo mazuri hayataki haraka
Yote yenu hayatutilii shughuli
Mkipenda msipende
Shauri ni yenu
Vumilieni msije jitonesha vidonda
Twala vyetu mwala vyenu
Mvurugano wa nini?

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s