Advancing

Hapo Ndipo

Nikumbatie
Nibusu
Nijivunie

Wachana nao
Wana karaha
Wabaya wao

Kaza mwendo
Twende mbele
Tujivinjari kivyetu

Natamani angalau
Natamani nionje
Nipate hata kidogo

Yale yal’otokezea
Ni baraka za muda
Tumetunukiwa sisi!

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s