Advancing

Tena na tena

Usinichukie kwa maneno
Ya walimwengu unono
Hawachoki kusema
Hawakosi la kusema
Mabaya kwao kiamsha kinywa
Chuki kwao cha mcha’
Wivu nao cha jio’
Nyakati ni zao

Mema yaja
Kesho utatabasamu
Hofu kukupotea
Badiliko kimaisha
Hadi mwisho
Labda kimawazo!

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s