Advancing

Kajitulizie mbali

Yepi unayoweza?
Chako kukibania
Cha mwezio kukipania
Kulaaniwa unajitakia
Aahh…
Usije ukajiporomosha bure!

Yangu ni yangu
Usijikoseshe utono kwayo
Kula huli bila kunitaja
Kuvimbiwa kwa kutotafuna
Na kumeza yas’o yako

Viroja na kelele zi’so maana
Tamu si tamu kwako
Uchachu wa maneno yako
Haujatosha kukusukuma mbele
Laana tu ndio zako
Jitulizie mbali
Usije ukatuambukiza!

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s