Advancing

Hadi tuonane tena…

Ukumbusho wako
Kwetu majonzi
Kilio hakitoshi
Kutupunguzia machungu
Tabasamu ijapo
Utabakia kwetu
Rohoni milele

Kile kilichoka
Wewe sio?
Mengi ulitufunza
Umaarufu usio
Masimango na ugomvi
Wepesi wa kulaani
Tabasamu fiche
Ulitueleza tuwache

Peponi umetutangulia
Twajua umehama kabisa
Kuwa nawe tutahamu
Tena na tena
Milele na milele

Magharibi tutazame
Mwisho waja
Mengi tuyapiku
Furaha itutoke
Huzuni kukuaga
Dunia umetuwachia

Kukuza ul’otarajia
Muhanga tutasukuma
Upepo utavuma
Mashariki kurudi
Hadi tuonane
Tena ahera

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s