Advancing

Kamwe

Wapi hao mahasidi?
Wako hoi
Wako taabani
Hawajui wafanye nini
Nimewatoanisha
Kwa kipaji
Nilichopewa kwa
Uwezo wake Maulana

Sigombei vya wengine
Nipatacho naridhika
Changu ni changu
Nikikuachia ujue ni bure
Ikiwa ni ya kuridhisha
Si’to banduka kamwe!

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s