Advancing

Si jana tu

Japo si jana tu
Bado ungali akilini
Mgongoni na rohoni
Tamu ilikuwa ingawa fupi mno

Wazimu wanipata
Kila siku na mashaka
Kwa kukufikiri wewe!
Nabaki nikishangaa nikijiuliza,
Tulipotelea wapi?

Advertisements
Standard